
Hauhitaji sana Chuo ili kujifunza Graphics Design unachotakiwa kujua ni mambo gani ya kufanya na hatua zipi ni muhimu kupita ili kufikia hatua ya kuwa aina ya designer unayetaka kuwa hapa.
Katika video hii nimekufundisha hatua za kufuata ili uweze kujifunza Graphics Design Mwenyew bila kwenda shule au chuo chochote cha graphics Design, tazama mapaka mwisho usiache kusubscribe na kulike video hii, share na yeyote ambaye unadhani anahitaji kujua zaidi kuhusu masuala ya ujuzi huu.
Bonyeza hapa Kupata Kozi zangu: https://app.gumroad.com/joemedia
Jifunze Graphics Design na creative skills zingine kupitia skillshare: https://skl.sh/3CBASHU
Support me on Patreon Page: https://bit.ly/3LtQwIV
Download Free Music: (No Copyright): https://uppbeat.io?referral=joel-4zfn5
Follow me on
Instagram: https://www.instagram.com/joemediagroup_/
Facebook https://linktr.ee/joemediagroup_
Twitter: https://linktr.ee/joemediagroup_
Whastapp: https://linktr.ee/joemediagroup_
Music from Uppbeat (free for Creators!):
https://uppbeat.io/t/cruen/family-time
0:00 -Intro
1:38 -principles of design
2:08 – Learn software/programs
3:00 – Connect
3:56 – Choose Niche
4:50 – Create portfolio
6:00 – outro
