Hatua 5 za Kujifunza Graphics Design Mwenyew Bila kwenda Chuo
Hauhitaji sana Chuo ili kujifunza Graphics Design unachotakiwa kujua ni mambo gani ya kufanya na hatua zipi ni muhimu kupita ili kufikia hatua ya kuwa aina ya designer unayetaka kuwa hapa. Katika video hii nimekufundisha hatua za kufuata ili uweze kujifunza Graphics Design Mwenyew bila kwenda shule au chuo chochote



